Birthday Party ya Romy Jons, Team nzima ya WCB ndani

author Millard Ayo   12 мес. назад
230,370 views

1,442 Like   221 Dislike

Romy Jons apokea mamilioni ya pesa kama zawadi kutoka kwa wasanii wa WCB na Watu wake wa Karibu

RED CARPET: Harmonize na RayVanny katika uzinduzi wa BAR mpya ya Dj wa Diamond

Usiku wa February 16, 2018 Dj wa Diamond Platnumz alizindua Bar yake mpya ambayo inapatikana maeneo ya Masaki DSM ambapo kwenye uzinduzi huo walihudhuria mastaa kibao wakiwemo wasanii wa WCB ambao ni Harmonize na Ray Vanny.

EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Mstaafu Kikwete "nanenepa siku hizi, mlikua mnanifuja"

Kama ulikua miongoni mwa wanaotamani kumsikia au kufahamu shughuli anazofanya kwa sana Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, taarifa ikufikie kwamba AyoTV imemtembelea Msoga na akatuonyesha anachofanya.

Birthday ya Harmonize, Mama Diamond Platnumz ajimwaga jukwaani kuicheza 'SHERI' ya Rich Mavoko

Kutana na Kijana aliyeuza chips na chapati mpaka kufungua Kampuni ya magari

Mara nyingi kwenye maisha ukiwauliza watu waliofanikiwa safari yao ilikuaje basi lazima watakueleza jinsi walivyo anzia chini mpaka kufikia mafanikio hayo, Ayo TV imekutana na Novati Tenga ambaye ni mchaga mwenye taaluma ya uhasibu ambaye ameelzea safari yake ya utafutaji ilipoanzia mpaka sasa kumiliki kampuni ya kuuza magari.

August 18, 2017 ilikuwa ni Birthday Party ya ndugu wa Diamond Platnumz ambaye pia ni Official Dj, Romy Jons ambapo mastaa wengi kutoka BongoMovie na BongoFlevani walialika sanjari na team nzima ya WCB.

Comments for video: