Mastaa Walivyojiachia na Kucheza Kwenye Birthday ya Diamond Platnumz

author TIMES FM TZ   7 мес. назад
186,348 views

744 Like   95 Dislike

DIAMOND PLATNUMZ BIRTHDAY PARTY 2017

Staa wa bongo fleva Diamond Platnumz jana October 2, 2017 alifanya party ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ambayo aliwaalika watu wake wa karibu wakiwemo mastaa mbalimbali, familia, ndugu, jamaa na marafiki.

Wcb Wasafi Live Performance at NillanBirthdayPart (SouthAfrica) Part 2

PARTY YA DIAMOND: Pre-Birthday ilivyopendeza DSM na alivyoimba 'hallelujah'

September 29, 2017 Mwimbaji Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz alifanya Pre-Birthday Party ambayo iliwakutanisha watu mbalimbali Dar es salaam. Hii video imenasa kila kitu kutoka kwenye Party yenyewe...

Rich mavoko Arubaini ya Mtoto wake

Imefanyika Nyumbani kwao Tabata(Dar es salaam) Tar 5/6/2016

ALICHOFANYIWA BAUNSA WA DIAMOND, HATOSAHAU!

ALICHOFANYIWA BAUNSA WA DIAMOND, HATOSAHAU! Mpango mzima wa 'Birthday Party' ya baunsa wa Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anayefahamika zaidi kwa jina la Mwarabu Fighter, ulifanyika katika fukwe za Sea Breeze zilizopo Mbezi Beach, jana Februari 11, 2018. Ambapo Mashabiki wa Mwarabu Fighter na wageni waalikwa wote walipata nafasi ya kukata keki pamoja na baunsa huyo. kupiga stori mbili tatu, na mwisho kabisa wakamfanyia 'suprise' ya kumsukuma kwenye swimming Pool kwa kumshtukiza jambo ambalo hatalisahau. Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa

100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.

Follow us on twitter https://twitter.com/TimesFMTZ and on instagram http://instagram.com/timesfmtz#

Comments for video: