Zari na Diamond wakimtunza mama yao (sandra)

author Dizzim Online   1 год. назад
495,996 views

992 Like   218 Dislike

INTERVIEW YA ZARI iliyoelezea na kufichua mengi ya Diamond

EXCLUSIVE!:- LEILA RASHID Hatimae Aachiwa huru. ALHAJ MZEE AFUNGUKA!! : https://www.youtube.com/watch?v=xVmXXYSBqhI&t=86s

Mama Diamond Aolewa; Ana MIMBA Kubwa!!!

Mama wa msanii wa Tanzania, Bwana Naseeb Abdul, ama Diamond Platinumz Bi Sandra ameolewa kwa harusi na kijana mdogo anayelingana na Dimond Platinumz. Ndoa hii imezua mshangao mkubwa mtandaoni na michambo ya hapa na pale hasa kutokea kwa Mange Kimambi kwani watu hawajaweza kuamini. Hata hivyo, mama Diamond ameonekana kunogewa na penzi la kijana huyu, anasema "si mdogo angekuwa mdogo asingeweza...." Bi Sandra pia amesema kuwa ana ujauzito mkubwa na punde tuu atanzalia Diamond Mdogo wake.

KAKA YAKE NA ZARI ALIVYOINGIA KUMTUNZA KWENYE 40 YA NILLAN

KAKA YAKE ZARI ALIVYOINGIA KUMTUNZA KWENYE 40 YA NILLAN

Wolper akimtunza Zari kwenye 40 ya 'NILLAN' amecheza kisingeli pia

Wolper akimtunza zari kwenye 40 ya 'NILLAN' amecheza kisingeli pia

Mtoto Nillan wa Diamond Alivyomwagiwa Minoti Kwenye 40 Yake - Madale

Zari na Diamond wakimtunza mama yao (sandra)

Comments for video: