664 Like 172 Dislike
jordan foundation
Msiba mzito, Member wawili wa WCB (SHANGARI @platnumzmondi na Phillipo @Philly_Nevvo_Msafi) Wafariki Dunia Kwa ajali ya gari maeneo ya chalinze wakitokea morogoro Subscribe Romanus Television Sasa: https://goo.gl/pRkbDJ Twitter: http://Twitter.com/renatus_romanus Instagram: http://instagram.com/renatus_romanus Facebook: http://facebook.com/romanustechnology Whatsapp: +255 674 241 847 #MSIBA_WCB #RIP_WBC_MEMBERS
Leo January 24, 2018 Mwimbaji Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amewaongoza mashabiki wa WCB katika mazishi ya moja ya mashabiki wa kundi hilo aliyefariki kwa ajali ya gari Philly Nevvo.
Comments for video: