Rayvanny alivyoimba LivE 'kamwambie' ya Diamond, Baraka na Bella

author Millard Ayo   2 год. назад
136,978 views

668 Like   27 Dislike

Steven Lupenza BSS2015 - Nenda Kamwambie Episode 12 Full Peformance

Bongo Star Search Follow Our Pages Facebook: http://facebook.com/BongoStarSearch Twitter: http://twitter.com/BongoStarSearch Instagram: http://instagram.com/BongoStarSearch SnapChat: BongoStarSearch

Rayvanny live performance in Dodoma Royal Village part3

Follow me on twitter: @Rayvanny Facebook page: https://www.facebook.com/Rayvanny Follow on G+: https://www.google.com/+bookraymond

Harmonize aongea kuhusu ile video alivyotolewa BSS

Inawezekana moja ya vitu ulitamani kumuuliza Harmonize ni kuhusu ile video inayomuonyesha alivyotolewa kwa kushindwa kukidhi vigezo kwenye shindano la Vipaji vya kuimba la Bongo Star Search. AyoTV imeongea nae kwenye Exclusive na kujibu maswali mengine pia ikiwemo mwaka ambao hawezi kuusahau.

Mstaafu J.K, Diamond na wengine msibani kwa Dr. Mwakyembe

Watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa, wasanii na watu mashuhuri wameendelea kufika nyumbani kwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe kutoa pole kufuatia kifo cha mkewe Linah George. Ayo TV imewashuhudia Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete, mwimbaji Diamond Platnumz pamoja na wengine.

Machalii wa Chugga wanao-trend Mtandaoni "Mwanaume Dar atakaa, ni sedere bidengere"

Ni tamasha la FIESTA 2016 likiwa na miaka 15 toka kuanzishwa kwake, kazi yake ni moja tu kutoa burudani likiwa limesheheni list ndefu ya mahodari wa bongofleva.

Comments for video: