Rayvanny Na Ben Pol walivyoimba kwenye 40 ya Nillan

author Millard Ayo   2 год. назад
164,297 views

736 Like   86 Dislike

Mastaa Walivyojiachia na Kucheza Kwenye Birthday ya Diamond Platnumz

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa 100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi. Follow us on twitter https://twitter.com/TimesFMTZ and on instagram http://instagram.com/timesfmtz#

Ben Pol na Diamond Platnumz wakitumbuiza Lala Salama

Ben Pol na Diamond Platnumz wakitumbuiza Lala Salama

Birthday Party ya Romy Jons, Team nzima ya WCB ndani

August 18, 2017 ilikuwa ni Birthday Party ya ndugu wa Diamond Platnumz ambaye pia ni Official Dj, Romy Jons ambapo mastaa wengi kutoka BongoMovie na BongoFlevani walialika sanjari na team nzima ya WCB.

Rich Mavoko,Harmonize,Rayvanny wakimtunza Diamond Platnumz kwenye 40 ya 'Nillan'

Rich Mavoko,Harmonize,Rayvanny wakimtunza Diamond Platnumz kwenye 40 ya 'Nillan'.

Ben Pol alipompandisha Saida Karoli na Kuimba SALOME kwenye Jukwaa la Love Melodies and Lights

Usiku wa kuamkia Februari 19 ulikuwa ni usiku wa burudani mwanzo mwisho… shoo ya #LoveMelodiesAndLightsEvent imefanyika kwenye Uwanja wa Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo wasanii wakali watatu Juma Jux, Ben Pol na Barakah The Prince walikuwa wakikamua kwenye show hiyo. Hapa kwenye hii video a dakika 9 nakukutanisha na legendary kutoka Bongo Flevani Saida Karoli ambaye kwa mara ya kwanza ndani ya miaka isiyopungua 10 alipanda jukwani na mkali wa melody za R&B Ben Pol na kutumbwiza LIVE on stage na kuimba nae wimbo wa SALOME. Kilichofuata baada ya hapo ni shangwe na kelele za furaha kutoka kwa mashabiki wa Saida Karoli ambao hisia zao zilidhirisha wazi kuwa mkongwe huyo ameacha gepu kwenye muziki wetu wa Bongo Fleva ambao, muziki wenye ladha ya kipekee na muziki unaoweza kuimbwa na yeye tuu. Itazame jinsi performance yake ilivyokuwa kwenye usiku wa LOVE MELODIES and LIGHTS.

40 ya mtoto wa pili wa Diamond Platnumz na Zari aitwae Nillan ilikua jana February 11 2017 nyumbani kwao Madale Dar es salaam ambapo mastaa mbalimbali wa bongo walihudhuria na kutumbuiza.

Comments for video: