Haya Ndiyo Maamuzi Q - Chief Kujiunga WCB, Amtaja Wema Sepetu

author Global TV Online   1 год. назад
154,656 views

764 Like   86 Dislike

Diamond Platnumz na Q-Chillah wakiimba Uhali gani?

Diamond Platnumz na Q-Chillah wakiimba Uhali gani?

40 ya Nillan: Wolper Achafua Hali ya Hewa, Atoa Povu Hadharani Mbele ya Wageni

WAKATI sherehe ya kutimiza 40 kwa mtoto wa Diamond na Zari, Nillan ikiendelea, staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper Massawe amekerwa na wanaomsema vibaya Zari na kuamhua kuwafungukia hadharani akitoa povu lake mbele ya wageni waalikwa.

Zari akimrecord Diamond akivunja Sheria Barabarani

Msanii maarufu wa Bongo Fleva anayefanya poa kimataifa Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, akiwa na mpenzi yake Zarina Hassan The Boss Lady , sambamba na mama mzazi wa Diamond, walionekana wenye furaha isiyokifani wakiwa kwenye gari yao ya kifahari ambapo walikuwa wanacheza na kuimba wimbo mpya wa Diamond, Marry You. Chezea mahaba mubashara wewe!!!

Magumashi ya Dereva Bajaj na Masele Chapombe

Global Comedy, vichekesho vya kuvunja mbavu kutoka Global Publishers, vikiongozwa na mchekeshaji Masele Chapombe, cheki hii jinsi dereva magumashi wa Bajaj alivyojaza abiria kibao kwenye Bajaj yake mpaka mwenyewe akakosa sehemu ya kukaa. Wakati abiria wenyewe wakiwa wameridhishwa na hali hiyo, mlevi mmoja anatokea na kuwafungua akili abiria hao ambao wenyewe wala hawakuwa na habari. Japo amelewa, Masele Chapombe anazungumza pointi za msingi sana na linakuwa fundisho kwa wote. Mcheki Masele Chapombe anavyowasanua abiria kweye Bajaj ya dereva magumashi, Global Comedy wanachekesha sana.

Tunda: Police Central Kumenifunza

Comments for video: