SAKATA LA MTOTO WA KAJALA NA FUNZO HILI KWA MASTAA!!

author Michepuko Kazi   1 год. назад
262,617 views

699 Like   264 Dislike

EXCLUSIVE;JAMILA WA KANUMBA AELEZA SABABU YA KUCHELEWA KUIACHIA MOVIE YAKE?{part one}

mtoto aliyefanya vizuri kwenye big dady sasa amekuja na hii kali ya mwaka sophia ni filamu ambayo ameifanyia kwenye kampuni yake mwenyewe msikilize hapo

Lulu afunguka kuhusu mimba yake, kuolewa na kutengana kwa wazazin wake

Mavazi ya mtoto wa Ali kiba yazua Gumzo Kenya baada ya mtandao mkubwa nchini humo kumuandika hivi

MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA 17 ANA UZITO KILO ZAIDI YA 180.

Mtoto Antonio Justin mwenye tatizo la kuongezeka uzito isivyokawaida. Madakatari wanaendelea kumfanyia uchunguzi katika Hospitali ya taifa Muhimbili. Umri miaka 17. kilo 180 kwa sasa. Endapo tatizo la kuongezeka uzito halitapatiwa ufumbuzi nchini atalazimika kupelekwa nje kwa matibabu.

List Ya Wasani Waliopata Watoto Mwaka 2017 Wapo Hapa

Please watch: "Okwi na Boko Walivyoichakaza Majimaji FC, SIMBA 4-0 MAJIMAJI" https://www.youtube.com/watch?v=8gFukjZ_hoY --~-- MAMA JADEN (CHUCHU HANS): Uhusiano wake na muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ ulianza kama siri. Ghafla, muigizaji Chuchu Hans ni mjamzito. Baadaye mambo yalikuwa wazi hasa Mwezi Januari, Chuchu alipojifungua mtoto wa kiume ambaye yeye na mpenzi wake, Ray walimpa jina la Jaden. MAMA GOLD (AIKA): Baada ya kudumu kwenye uhusiano kwa zaidi ya miaka nane, Aika na mpenzi wake, Nahreel, mwanzoni mwa Mwezi Desemba walibahatika kupata mtoto wa kiume ambaye walimpa jina la Gold. MAMA PRINCE ABDUL (HAMISA MOBETO); Mwanamitindo wa kimataifa, Hamisa Mobeto naye anaingia kwenye orodha hii baada ya Mwezi Agosti, mwaka huu kupata mtoto wa kiume aliyempa jina la Prince Abdul. Kwa Hamisa, huyu ni mtoto wa pili kufuatia awali kupata mtoto wa kike aitwaye Fantas. MAMA CLARIBELL (ESHA BUHETI); Wakati ikiwa imepita siku moja tu baada ya mwanamitindo Hamisa Mobeto kupata mtoto wa kiume, muigizaji Esha Buheti naye alibahatika kupata mtoto wa kike ambaye alimpa jina la Claribell. Kama ilivyo kwa Hamisa, kwa Esha pia huyo naye ni mtoto wake wa pili. Mtoto wa kwanza anaitwa Clarisa. MAMA LIL JUNIOR (FAIZA ALLY); Muigizaji Faiza Ally naye yumo kwenye orodha hii. Mwaka 2017, kwake umekuwa na mafanikio mengi ikiwemo kupata mtoto wa kiume ambaye amemuita Lil Junior. Naye ni mtoto wake wa pili baada ya Sasha aliyezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’. Wengine waliopata watoto kwa mwaka 2017 ni pamoja na staa wa Bongo Fleva, Estarlina Sanga ‘Linah’ Khadija Nito na muigizaji Welu Sengo.

SAKATA LA MTOTO WA KAJALA NA FUNZO HILI KWA MASTAA!!

Comments for video: