Rayvanny akiimba wimbo wake mpya kwenye 40 ya Nillan

author Dizzim Online   2 год. назад
108,522 views

576 Like   39 Dislike

LAVALAVA hana Gundu/ Analala na Kula Kwangu/Kanipa mimba/Kaniblock/

Rayvanny Na Ben Pol walivyoimba kwenye 40 ya Nillan

40 ya mtoto wa pili wa Diamond Platnumz na Zari aitwae Nillan ilikua jana February 11 2017 nyumbani kwao Madale Dar es salaam ambapo mastaa mbalimbali wa bongo walihudhuria na kutumbuiza.

WCB hawajamuacha salama Rayvanny kwenye Birthday

August 22, 2017 ilikuwa Birthday ya mwimbaji staa wa Bongofeva Rayvanny ambapo team yote ya Wasafi Classic Baby 'WCB' ilikuwa na surprise.

Ben Pol na Diamond Platnumz wakitumbuiza Lala Salama

Ben Pol na Diamond Platnumz wakitumbuiza Lala Salama

Cheki hapa Rayvanny Akimuimbia Nandy "Kamwambie" wa Diamond Platnumz

Tazama mchanganyiko wa Muziki mzuri, Rayvanny toka WCB akiperform pamoja na African Princess Nandy toka Tanzania House of Talents

Rayvanny akiimba wimbo wake mpya kwenye 40 ya Nillan

Comments for video: