Snura Akinukisha Dar Live, Tazama 'Chura' Wake Alivyosababisha Kizaazaa

author Global TV Online   8 мес. назад
250,706 views

382 Like   124 Dislike

Wema Sepetu akicheza vigoma Mkwakwani Stadium Tanga

Mwigizaji wa bongo movie na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameanza kuzunguka kwenye mikoa mbalimbali na kucheza vigoma ikiwa pia ni Tour anayoitumia kwa ajili ya kuonyesha bidhaa zake za Ndala alizoanza kuziuza Tanzania zaidi ya miezi miwili iliyopita.

Chura Dance challenge Chafu sana 18+

CHURA DANCE CHALLENGE

mauno na vichupi

Meddy wa treyce - Bata - official video

Baikoko Kizazi Kipya Masista Duu Wakikata

Baikoko Kizazi Kipya Masista Duu Wakikata Mzee Jembe

WATU WANAVYO KULA MAISHA KWENYE SHOW ZA VIGOMA

'Chura' wa Snura amesababisha kizaazaa kikubwa! Hii ni baada ya mwanadada huyo kuonesha umahiri mkubwa wa kucheza naye hadharani, mbele ya mashabiki kibao waliokuwa wamefurika Dar Live ambapo walikuwa hawatulii, wote wakimkodolea macho Snura na chura wake.
Ilikuwa ni burudani ya aina yake wakati mwanadada huyo aliyepata umaarufu kutokana na ngoma yake ya Majanga, alipoonesha ustadi wa juu wa kuyakata mauno yake jukwaani, huku kibwagizo cha 'Chura huyo churaa... chura anarukaruka kikipata umaarufu mkubwa' kikiimbwa na karibu kila mtu.
Mpango mzima ulikuwa ni usiku wa sikukuu ya Eid el Fitr ambapo Snura na wasanii wengine kibao walikinukisha kinoma Dar Live.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/

Comments for video: