Mtoto Nillan wa Diamond Alivyomwagiwa Minoti Kwenye 40 Yake - Madale

author Global TV Online   1 год. назад
670,373 views

1,785 Like   529 Dislike

Diamond Platinum Kumtoa Tiffah Kwa Mara Ya Kwanza

Msanii Diamond Platinumz Kutoka Tanzania alipomtoa mwanaye Tiffah baada ya kufikisha siku 40 tangu azaliwe. Diamond Platinum and His Daughter Tiffah, for the first time Diamond showed his daughter publicly.

ZARI THE BOSS LADY ATUA BONGO KWA MBWEMBWE MUONE MTOTO WA DIAMOND PRINCE NILLAN

MAMA AOLEWA NA MTOTO WAKE WA KUMZAA

SUBSCRIBE, LIKE, SHARE UJISHINDIE ZAWADI NONO YA SIMU BOMBA. PIA UTAKUWA WA KWANZA KUPOKEA VIDEO ZETU MPYA KUTOKA DIRA TV. https://tvdira.blogspot.com/

Msikie Tiffah Dangote Mtoto wa Diamond Akijaribu Kuongea Kingereza

Diamond Platnumz & Zarinah Hassan's Daughter

VILIO, SIMANZI VYATAWALA KUAGWA KWA MTOTO NORAH

SUBSCRIBE NOW http://www.youtube.com/c/uwazi1 NI huzuni na simanzi kubwa kwa ndugu jamaa na marafiki iliyoambatana na vilio wakati wa shughuli yaa kuaga mwili wa mtoto Norah Jimmy (11) aliyefariki dunia juzi kwa kile kinachodaiwa kuwa alibakwa kisha kunyongwa. Wanafunzi waliokuwa wakisoma na Norah wameingiwa na simanzi kubwa na kushindwa kujizuia na kuangua vilio baada ya kuona jeneza lenye mwili wa mwenzao alitetangulia mbele za haki. Norah aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Atlas iliyopo Sinza, ameagwa leo nyumbani kwao maeneo ya Sinza Mori jijini Dar na anatarajiwa kuzikwa katika Makaburi ya Kinondoni. Inadaiwa mtoto huyo alifanyiwa kitendo hicho cha kikatili cha kubakwa kisha kunyongwa mpaka kufa na mjomba wake aitwaye John Msigala. Mpaka sasa bado haijatolewa ripoti ya daktari ya kuthibitisha chanzo cha kifo cha Norah, huku jeshi la polisi likisisitiza waombolezaji wa msiba huo kuvuta subira mpaka pale uchunguzi utakapokamilika. http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...

Comments for video: