VIDEO: Harusi ya Dj wa Diamond Platnumz Rommy Jones

author Millard Ayo   4 мес. назад
592,832 views

2,020 Like   335 Dislike

DIAMOND NA ZARI WALIVYOTISHA KWENYE HARUSI YA DJ WAO, ROMY JONS

December 1 mwaka 2017 WCB Walipiga Pilau ambapo Dj Wao Romy Jons alifanikiwa kuvuta Jiko Official. Ndoa ilihudhuriwa na Watu wao wa Karibu akiwemo Diamond Platnumz na Zari wake. Wengine walikuwa Wasanii wa WCB, Tundaman, Mama Diamond na wengine. Tunakutakia Kila la Kheri kwenye Ndoa yako Romy Jons.

Tazama Diamond Platnumz na Zari wakicheza Taarabu kwenye 40 ya Nillan

Tazama Diamond Platnumz na Zari wakicheza Taarabu kwenye 40 ya Nillan

FULL VIDEO: Diamond na Zari kwenye 40 ya Mtoto wa Tale

Diamond alivyowasili Airport kumpokea Rayvanny kutoka BET

Diamond Platnumz na Zari The BossLady wasindikizana jukwaani kwenye ndoa ya Romy

DROP COMMENT YAKO HAPA, LIKE NA SHARE STORI HII KWA WASHIKAJI ZAKO...USISAHAU KU- SUBSCRIBE CHANNEL HII KWA MASTORI YA KIJANJA

December 01, 2017 official DJ wa Mwimbaji Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz, Rommy Jones amefunga ndoa na mpenzi wake waliokuwa wakiishi kwa muda mrefu.

Comments for video: